Kupewa Daraja la Ushemasi

Katika historia ya Kanisa, vitu vitatu vimejitokeza ambavyo kwavyo mtu hujongea daraja takatifu Hivi ndivyo huitwa madaraja matakatifu
Na twavifahamu kama uaskofu,ukuhani na ushemasi.

Pamoja na kwamba vyatofautiana vyote ni sehemu ya sakramenti ya daraja takatifu.
Mtaguso wa II wa Vaticano huongea juu ya ukuhani mmoja wa kimungu ambao hutendwa katika ngazi tatu na wale ambao tangu kale wamekuwa wakiitwa Maaskofu, makuhani na mashemasi. (Lumen Gentium & sect;. 28)

Women were ordained deacons!
Wanawake walipewa daraja la ushemasi katika kanisa la Kale.

Desturi hii
imehifadhiwa
kimaandishi tangu karne za kwanza tisa,hasa katika Kanisa la Kigiriki(mashariki).
Wanawake mashemasi walisaidia katika ubatizo wa wanawake
uliohitaji kupakwa mafuta na kuzamishwa majini mwili mzima.

Twafahamu bayana kanuni za daraja zilizotumika. Zahusisha kuwekwa mikono na Askofu, sala ya Roho Mtakatifu ya kupewa ushemasi na kupewa stola ya ushemasi.
Soma hapa mfano halisi wa kanuni hizo.

Daraja la ushemasi lilifanana kwa kila kitu kwa wanaume na wanawake. Kama wanawake mashemasi hawakupewa daraja kihalali,basi, hata wanaume mashemasi hawakupewa kihalali.

 
Wakati huo Kanisa la kigiriki(mashariki) lilikuwa Katoliki kabisa, kwani mgawanyiko wa magharibi ulitokea mwaka 1054.

Desturi hii yaweza kupatikana kutoka wakati wa Mt. Paulo. Alihudumu pamoja na Foibeshemasiwa kanisa la Kenkrea(Warumi 16:1-2).


Mitaguso ya kimataifa ya kanisa kama Kalsedoni, Trullo n Nisea ya II, ilikubali daraja la ushemasi kwa wanawake.


Basi, kama wanawake walipokea daraja takatifu wakati huo vile vile hata sasa waweza pokea.
 

Kitabu cha hivi karibuni juu ya wanawake mashemasi

Hakuna wanawake kwenye Daraja takatifu? Wanawake Mashemasi wa kale

Na John wijngaards,cantbary Press,2002.

"This is an exceptionally engaging and readible book, written with great empathy for the historical background. Wijngaards has also rendered a great service by translating the original sources and presenting them in an easily accessible format."

Script for dramatizing the ancient ordination rite

Reviews —– * —– How to Order

  Go to the next step?

1

2

3

4

5

6

7

baptised

empowered

liberated

ordained

affirmed

supported

called