Mtaguso wa Vaticano unafundisha
kwamba Kanisa Katoliki halina budi lijifunze
kutoka kwenye makanisa mengine ya Kikristu.
![]() | Katika Makanisa mengine ya Kikristu wanawake wanaruhusiwa kushiriki katika huduma zote za kidaraja. Hii siyo tu kwa makanisa ya kiinjilisti, bali pia katika baadhi ya makanisa makuu yaliyo karibu na mapokeo ya Kikatoliki, kama vile Wakatoliki wa Kale, Wamethodisti, Waanglikana, na Waepiskopaliani. Kuwapokea wanawake katika huduma hii ni matokeo ya mchakato mrefu wa sala na utafiti wa ndugu zetu wakristu. |
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
baptised | empowered | liberated | ordained | affirmed | supported | called |



